Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Bi. Usu Mallya akimkabidhi Maria Patrick baiskeli ya kumsaidia kutembea iliyotolewa msaada na Mchungaji wa kanisa la Pentekoste Tanzania Mch. Masanja hayupo pichani. Kushoto kabisa ni Bi. Lilian Liundi Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano TGNP na kulia kabisa ni MC wa tukio hilo Bi. Marie Shaba. |
No comments:
Post a Comment