Monday, January 31, 2011

mkazi wa kijiji cha Tondoroni KIsarawe akitafuta maji ya kutumia nyumbani, kwenye madimbwi kutokana na kukosekana kwa visima katika kijiji hicho
Mjumbe wa Shina katika kijiji cha Mloganzila, Kiluvya Wilaya ya Kisarawe Pwani akiangalia nyumba yake anayoishi na familia wake kijijini humo ambayo haiendelezwi kutokana na mgogoro wa ardhi

Bibi, Asha  Sumari wa Kijiji cha Mloganzila, kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani. akiwa nje ya Nyumba yake anayoishi, mapema mwaka 2011